Chemshabongo 4 Vitendawili
Across
- 1. Ukipewa usitumie.
- 4. Kuku mweupe hufanya harusi.
- 5. Mwanangu mfupi anafanya kazi ngumu.
- 6. Mimi nimemfunza Mzungu kutengeneza nguo maridadi.
- 8. Nina miguu miwili lakini ninatembea na minne.
Down
- 2. Churura; ganda; gandama!
- 3. Huwafanya watu wote wawashwe.
- 4. Mtungini hakuingii kata.
- 5. Nimelala lakini naangalia sinema.
- 7. Huanza kwa hatua moja.