July 2025 Quiz
Across
- 2. Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
- 3. Mama wa mfalme Josia anaitwa?
- 4. Mtoto ambae afanyi vitu anavyoelekezwa na wakubwa wake, anakuwa sio?
- 5. made Josia aliongoza akiwa na miaka mingapi?
- 6. MUNGU hapendi
- 9. geukeni mshike safari yenu mwende nchi ya milima ya Waamori, na mahali pote palipo karibu ya hapo....
Down
- 1. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
- 4. Amani ni Matokeo ya kumsikia
- 7. Mipango ya MUNGU kwenye maisha yetu ni
- 8. ameandika Zaburi nyingi?