Maneno ya Fumbo (mtambuka)ya Kaini na Habili
Across
- 1. Kaini alilma undongo yeye alikuwa ________.
- 2. Je, wewe ni ______wa kaka yako?
- 3. Kaini aliongozwa nayo alipomuua kake yake.
- 6. Habili alifahamu hiki kilikua muhimu kwa Mungu.
- 7. Sehemu ya adhabu ya Kaini ilikua kwamba _______duniani.
- 8. Sadaka yake ilimpendeza Mungu?
Down
- 1. Habili aliwatazama wanyama,yeye alikua?
- 2. Mungu anataka kila sehemu ya miili yetu na ______tukijitoa kwake.
- 4. Jinsi gana Kaini a Habili walikua wanahusiana?
- 5. Mungu akupenda tendo la Kaini na ______ yake.