SWAHILI YEAR 5 - SHAMBANI

1234567891011121314
Across
  1. 2. Mtu anayefanya kazi shambani.
  2. 8. Mahali pa kufugia wanyama.
  3. 10. Selling
  4. 11. Farm produce
  5. 12. inamaanisha vegetables kwa kingereza
  6. 14. Hutumika kufyeka
Down
  1. 1. Weeding
  2. 3. Kitendo cha kuweka mbegu ardhini.
  3. 4. Sehemu ya kulima mazao.
  4. 5. Ndege anayefugwa shambani na kuliwa na binadamu.
  5. 6. Maji yanayotoka mawinguni.
  6. 7. Zao linalotumiwa kutengeneza unga.
  7. 9. Mnyama anayetoa maziwa.
  8. 13. Kifaa cha kulimia ardhi.
  9. 14. Harvesting