Across
- 3. Sherehe ya kufufuka kwa Yesu
- 6. Yesu yu.....baada ya kufufuka → Hai
- 8. Alikaa juu ya jiwe
- 9. Alifufuka siku ya tatu
- 10. Yesu alizikwa
Down
- 1. Kilichopatikana ndani ya kaburi
- 2. Iliangaza wakati wa ufufuo
- 4. Lilisogezwa kutoka kaburini
- 5. Yesu alikufa juu yake
- 7. Kitendo cha kufufuka
- 8. Alikuja kaburini mapema
