Chemshabongo 4 Vitendawili

12345678
Across
  1. 1. Ukipewa usitumie.
  2. 4. Kuku mweupe hufanya harusi.
  3. 5. Mwanangu mfupi anafanya kazi ngumu.
  4. 6. Mimi nimemfunza Mzungu kutengeneza nguo maridadi.
  5. 8. Nina miguu miwili lakini ninatembea na minne.
Down
  1. 2. Churura; ganda; gandama!
  2. 3. Huwafanya watu wote wawashwe.
  3. 4. Mtungini hakuingii kata.
  4. 5. Nimelala lakini naangalia sinema.
  5. 7. Huanza kwa hatua moja.