July 2025 Quiz

123456789
Across
  1. 2. Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
  2. 3. Mama wa mfalme Josia anaitwa?
  3. 4. Mtoto ambae afanyi vitu anavyoelekezwa na wakubwa wake, anakuwa sio?
  4. 5. made Josia aliongoza akiwa na miaka mingapi?
  5. 6. MUNGU hapendi
  6. 9. geukeni mshike safari yenu mwende nchi ya milima ya Waamori, na mahali pote palipo karibu ya hapo....
Down
  1. 1. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
  2. 4. Amani ni Matokeo ya kumsikia
  3. 7. Mipango ya MUNGU kwenye maisha yetu ni
  4. 8. ameandika Zaburi nyingi?