Across
- 2. Mtu anayefanya kazi shambani.
- 8. Mahali pa kufugia wanyama.
- 10. Selling
- 11. Farm produce
- 12. inamaanisha vegetables kwa kingereza
- 14. Hutumika kufyeka
Down
- 1. Weeding
- 3. Kitendo cha kuweka mbegu ardhini.
- 4. Sehemu ya kulima mazao.
- 5. Ndege anayefugwa shambani na kuliwa na binadamu.
- 6. Maji yanayotoka mawinguni.
- 7. Zao linalotumiwa kutengeneza unga.
- 9. Mnyama anayetoa maziwa.
- 13. Kifaa cha kulimia ardhi.
- 14. Harvesting
